Announcement

Collapse
No announcement yet.

Kenya yachukua hatua za kuzuia Ebola isipenye nchini humo

Collapse
X
 
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • Kenya yachukua hatua za kuzuia Ebola isipenye nchini humo

  http://www.ippmedia.com/cgi-bin/ipp/....pl?key=104148

  Kenya yachukua hatua za kuzuia Ebola isipenye nchini humo

  2007-12-12 16:08:06
  Na EAR Habari


  Mkurugenzi wa Huduma za Afya nchini Kenya, Dk James Nyikal amesema serikali imechukua hatua za kuzuia ugonjwa wa Ebola usipenye nchini Kenya.

  Dk. Nyikal amesema kwamba wizara ya afya ya Kenya itaanza kuwapima wasafiri ambao wanaingia nchini humo kutoka Uganda, ambako imereportiwa watu 29 wamekufa kutokana na ugonjwa huo.

  Amesema tayari wataalamu wa kufanya vipimo wameshawekwa katika maeneo ya mpakani mwa Busia, na Malaba na pia katika viwanja vya ndege.

  ---------------

  Comment: From the few words I can read, this article seems about Kenyan air transport/airport/borders, and 29 dead from Ebola in Uganda.
Working...
X